CANAVARRO BADO NIPO, ABDI KASSIM NITATOKA 2022

Headlines za wanasoka wa kibongo kuulizwa kuhusu lini watastaafu kucheza soka zimekuwa zikiandikwa sana mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari, alianza kusikika nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar Es Salaam Young African Nadir Haroub Canavaro kuwa kacheza kwa muda mrefu, hivyo lini atastaafu?
Canavaro kupitia gazeti la habari leo alijibu kuwa kuhusu suala la kustaafu kucheza timu ya taifa anaweza kufikiria baada ya miaka mitatu, lakini kama atafanya hivyo ataendelea kuichezea klabu yake ya Yanga kama kawaida. Baada ya hapo millardayo.com ilipata bahati ya kukutana na Abdi Kassim Babi  na kumuuliza kama ana mipango ya kuustafu?
Young Africans SC captain Nadir Haroub reacts during their CECAFA-Kagame Club tournament quarter finals match against Azam FC at the National Stadium in Dar es Salaam on July 29, 2015. Azam FC won 5-3 on penalties. Photo/Stafford Ondego/www.pic-centre.com/CECAFA. (TANZANIA)
Canavaro
“Muda wa kustaafu haujafika, nafikiria kufanya hivyo baada ya miaka mitatu na nikistaafu bado nitaendelea na kuichezea Yanga, na ikitokea nimeondoka Yanga basi ndio mwisho wa jina langu kusikika kwenye soka, kwani sifikirii kuichezea timu nyingine baada ya hapo,” >>> Canavaro
IMG-20151111-WA0006
Abdi Kassim Babi wa pili kutoka kulia akiwa na waamuzi pamoja na nahodha mwenzake wa timu pinzani.
Babi ambaye amewahi kuvitumikia vilabu vya Mtibwa Sugar, Yanga na Azam FC kwa sasa anacheza soka katika klabu ya UiTM ya Malaysia na yupo likizo Tanzania baada ya msimu wa Ligi Kuu Malaysia kumalizika. Majibu  Babi  ndio haya kuhusu mipango yake ya kuustaafu soka.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment