MAAJABU YA KANUNI

KANUNI NI JIBU
Kanuni ni mwalimu anayekuweza kupata kile unahitaji kupata.
Kanuni haina upendeleo, ukiifuata na kuitimiza hakika utapata Jibu.
Ni kwa kanuni tu mjinga anakuwa mwelevu na mwelevu anakuwa mjinga.
Ni kwa kanuni tu asiye na kazi anapata kazi na aliye na kazi anafukuzwa kazi.
Ni kwa kanuni tu maskini anakuwa tajiri na tajiri anakuwa maskini.
Ni kwa kanuni tu mmoja anakufa na mwingine anazaliwa.
Ni kwa kanuni tu Mwanaume anatambulika kama mwanaume na mwanamke kama mwanamke.
Ni kwa kanuni tu wa kiume anakuwa mwanaume na wa kike anakuwa mwanamke.
Ni kwa kanuni mwenye nguvu anapigwa na asiye na nguvu.
Ni kwa kanuni tu ndugu na wewe utakuwa vile hukuwai kuwa.
Usiishie kutaka ila jua na kanuni za hicho unataka.
Uwe na mchana mwema na Mungu akubariki.
By imanjonas1
MUNGU NDANI NA NJE
MAISHA MWAMBANI.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment