NI ZAMU YA UBUNGE SASA

Baada chama cha mpinduzi kumpata mtu atakayekiwakilisha katika mchamkamchaka wa mbio za kuelekea ikulu. sasa chama hicho kiko katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika ngazi ya ubunge na udiwani. leo nikiwa na katika viunga vya mji wetu wa ushirombo nilikutana na pilika pilika za wanaccm waliopania kuvaa viatu vya mheshimiwa profesa kulikuyela kahingi katika kipindi cha mwaka 2015-2020. mmoja wa wagombea hao ni pamoja na kijana michael ishengoma mwakilishi wa asasi ya kijana jitambue (KIJI) katika wilaya ya bukombe. blog hii inawatakia kila la heri wagombea wote katika harakati zao za kufikia malengo waliyojipangia.

SINGIDA WEMA SEPETU ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA VITI MAALUM CCM


Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment