MABADILIKO KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

Baraza la mitihani la Tanzania hivi karibuni ilitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2015. jumla ya wanafunzi 38,853 wamefaulu mitihani yao ya kidato cha sita kati ya watahiniwa 40,753 katika matokeo hayo kuna baadhi ya mabadiliko kama vile kuongezeka kwa kiwango cha ufaulu. pia shule mpya zimeingia katika kumi bora. shule zilizoingia kumi bora ni;
  1. Shule ya Sekondari ya Feza  
  2.  shule za Runzewe (Geita),
  3.  Feza Girls (Dar), 
  4.  Sumbawanga (Rukwa),
  5.  Ivumwe (Geita), 
  6. St Mary’s Mazinde Juu (Tanga),
  7.  Vwawa (Mbeya),
  8.  Kisimiri (Arusha),
  9.  Namabengo (Ruvuma) na
  10.  Scolastica (Kilimanjaro). 
aidha katibu mtendaji wa baraza la mitihani la taifa Charles Msonde alitangaza shule zilizofanya vibaya katika mtihani huo kuwa ni pamoja na;
  1. Shule ya Sekondari ya Meta ya Mbeya,( iliyoshika mkia ikifuatiwa) 
  2.  Kwiro (Morogoro), 
  3. Mtwara Tech (Mtwara),
  4.  Iwalanje (Mbeya),
  5.  Lugoba (Pwani), 
  6. Kaliua (Tabora), 
  7. Kilangalanga (Pwani),
  8.  Lwangwa (Mbeya), 
  9.  Ilongero (Singida) na
  10.  Bariadi ya Simiyu.
 wasichana waliofanya vizuri katika mtihani huo ni;
  1. Hunayz S Mohamed (Feza Girls),
  2.  Rosemary Osian Chegula (St Mary’s Mazinde Juu),
  3.  Meghna Vipul Solanki (Shaaban Robert),
  4.  Nice Robert Mathew (St Mary’s Mazinde Juu),
  5.  Atumpoki Francis Mwakyoma (St Mary’s Mazinde Juu),
  6.  Irene Godlove (Feza Girls),
  7.  Kuduishe Kisowile (St Mary’s Mazinde Juu), 
  8.  Aziza Ramadhan Mkwizu (St Mary’s Mazinde Juu),
  9.  Zaituni Rashid Langi (Iringa Girls pamoja na
  10.  Fatma Moshi (Feza Girls)
kwa upande wa wavulana waliofanya vizuri ni;
  1. Ramadhan Gembe, (Feza Boys),
  2.  Lesian Lengare (Ilboru), 
  3. Kevin Fidelis Rutahoile,
  4.  Anderton Masanja, 
  5. Joseph Pasian,
  6.  Lupyana Kinyamagoha  (Mzumbe),  
  7. Yonazi Charles Senkondo (Feza Boys), 
  8. Erickson Muyungi (Nyegezi Seminary), 
  9. Malonja Yona (Ilboru) na
  10.  Amani Pelesi Fungo kutoka Feza.
hongereni Runzewe sekondari kwa kuingia kumi bora. 
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment