kwa mujibu wa jarida la forbes vilabu vya mpira wa miguu vilivytajiri zaidi ni;
- . Real Madrid (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,087
- Barcelona (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,023
- Manchester United (familia ya Glazer) Pauni Milioni 1,985.
- Bayern Munich (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 1,502
- Manchester City (inamilikiwa na Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan) Pauni Milioni 8796.
- Chelsea (inamilikiwa na Roman Abramovich) Pauni Milioni 876
- Arsenal (inamilikiwa na Stanley Kroenke) Pauni Milioni 836
0 comments :
Post a Comment