Ramadhani Masanja 'Banza Stone ambaye ni mwanamuziki maarufu wa mieondoko ya dansi Tanzania ameaga
dunia katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa hospitalini hapo kwa muda mrefu.
Mwanamuziki huyo nyota wa zamani wa Twanga Pepeta na Tot alikuwa
amelazwa hospitalini muda mrefu.
habari za kifo chake zimethibitishwa na mmiliki wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Barak.“Kweli amefariki leo saa saba, baada ya kutoka tu msikitini ndiyo
tumepata taarifa hizo za msiba,” alisema Asha Baraka.
licha ya kufanya kazi twanga pepeta marehemu banza stone pia alifanya kazi katika bendi ya TOT.
0 comments :
Post a Comment