Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa.
Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polisi na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi .
Wanashikiriwa na jeshi la
polisi ambao wengine wamekamatwa leo ni John Elisante, Leticia Masaro,
Christina Temu, Merina Chawala, Adnan Ally ,Masoud Seleman, Benadeta
Sangawe.
Wanaotafutwa kwa tuhuma za kusababisha upotevu wa kodi za serikali katika bandari ya Dar es Salaam ni Happygod Naftal, Nathan Edward, Aron Lusingu, Amani Kazumari, John Mushi, Valentine Sangawe, Benasweet Kamaina, Zainab Bwijo.

0 comments :
Post a Comment