AZAM YATEMBEZA KIPIGO KAGAME

makamu bingwa wa ligi kuu bara imeipeperusha vema bendera ya Tanzania katika mashindano ya klabu bingwa africa mashariki na kati baada kuifunga timu ngumu ya KCC ya Uganda Bao 1.0. katika mchezo huo uliokuwa na ushindani wa kutosha bao pekee la Azam fc lilifungwa na nahodha wa timu hiyo John Bocco "Adebayo" dakika ya 12 kwa shuti la mguu wake wa kushoto.
kwa matokeo hayo Azam Fc inakuwa na pointi sawa na Timu ya Malakia ya Sudan Kusini iliyoifunga Adama city ya Ethiopia bao 2.1
kikosi cha azam kilikuwa hivi;
Manula Aishi Salum, John Bocco, Pascal Wawa, Agrey Morris, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Didier Kavumbagu/Kipre Tchetche dk46, Morad Said Hussein, Mkami Hamid Mao, Salum Abubakar/Mudathir Yahya dk80 na Frank Domayo/Jean Mugiraneza dk64.
na kikosi cha KCCA kilikuwa na;
 Ochan Benjamin, Masiko Tom, Kavuma Habib/Owen Kasuule dk61, Mpuga Martin, Wasswa Hassan, Senkumba Hakim, Okot Denis Oola, Nsibambi Derrick/Shaaban Kondo dk46, Mutyaba Muzamir, Ochaya Joseph na Birungi Michael.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment