SAYARI NA SIFA ZAKE

MFUMO WETU WA JUA UNAUNDWA NA SAYARI NANE ZENYE SIFA TOFAUTI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO;
  1. Mercury (Zebaki)Hii ni sayari iliyo karibu zaidi na jua. na kutokana na kuwa karibu zaidi na jua inajoto kali zaidi kuliko sayari zingine. 
  2. Venus (Zuhura) Hii ni sayari yenye sifa ya kung'ara zaidi katika mfumo wetu wa jua baada ya jua na mwezi,ni sayari yenye anga chafu zaidi. 
  3. Earth (Dunia) hii ni Sayari ya tatu kutoka jua ni dunia,ni sayari ambayo mpaka sasa ndiyo inayojulikana kuwa na viumbe hai kama mimea,wanyama, ndege nk. 
  4. Mars: hii ni sayari ya  nne kutoka kwenye jua ,mars ni sayari ya pili kwa udogo katiika mfumo wetu wa jua, Jina la Mars limetokana na mungu wa Kirumi wa vita, Mara nyingi huitwa kama sayari ya 'Iron Oxide' kutokana  na ardhi yake kuwa na muonekano mwekundu 
  5. Jupita:hii ni sayari ya tano kutoka kwenye jua;ni sayari kubwa kuliko zote nane zilizogunduliwa kwenye mfumo wa jua,Ni kubwa ya gesi ambayo uzito wake ni  moja ya elfu ya jua lakini ni mara mbili na nusu uzito wa sayari zingine zote kwa pamoja katika mfumo wetu wa jua. 
  6. Satum: Ni sayari ya sita kutoka kwenye mfumo wetu wa jua Ni sayari ya pili kwa ukubwa katika mfumo wa jua; jina lake limetokana na jina la mungu wa Warumi kutokana na Maumbile yake kufanana na umbo la mungu wao,
  7. Uranus:ni sayari ya saba ;Hii ni sayari yenye rangi ya kijani-bluu 
  8. Neptune: Ni sayari  ya nane; Ni sayari ya nne kwa ukubwa na ya tatu kwa uzito
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment