NAMNA YA KUSHINDA DHAMBI ILIYOKUTESA MUDA MREFU

NITAISHINDAJE DHAMBI INAYONITESA? Na Mtumishi Peter Mabula. Ni ujumbe alioniandikia ndugu mmoja ambaye alihitaji msaada wa kiroho. Ndugu huyu alianiandikia hivi; Hallo Peter Mabula mtumishi wa MUNGU. kwanza namshukuru MUNGU kwa kuyapitia mafundisho yako, kwani kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria njia ya kuacha uzinzi kwani sioni FAIDA yake lakini kila nikijitahidi kuacha najikuta nimetumbukia tena na moyo unaniuma sana kwani nilikuwa NIMEOKOKA na kwa kweli nilikuwa na matamanio mkubwa ya kumtumikia Mungu na sasa hayapo kabisa na kwa kweli uvivu katika kumtafuta Mungu mara kwa mara umenifanya nirudi nyuma na kila nkijitahidi kusimama najikuta narudi nyuma kweli inaniumiza Imefika mahali nimekata tamaa kabisa hata ya kwenda kanisani na hata nikitamani kwenda kanisani nakuta moyo unanirudisha ; Na isitoshe kila nikifikiria maovu niliyomtenda Mungu naona kabisa kama sina nafasi kwake, kwa mtu niliyemjua na kuanza kutenda maovu mabaya ingawa natamani sana nirudi kwake Na mbaya zaidi kweli wakati mwingine nimekuwa nikiomba maombi kwa watumishi wa MUNGU kuomba sala ya toba lakini najikuta narudi tena kulekule hivyo naona kama namtania Mungu na kuingia kanisani nkiwa mwenye dhambi naona kama kumfanyia masihara muumba naomba ushuri wako. Baada ya mimi Peter Kuusoma ujumbe wa ndugu huyo hapo juu nilimjibu na kuahidi kuanza kumuombea. Majibu yangu hayo nataka yakusaidie na wewe ili umpokee BWANA YESU na kusimama imara katika wokovu wa BWANA. Majibu yangu ni haya; ubarikiwe kwa kunieleza siri yako inayokutesa kwa muda mrefu. Naomba nikushauri kama ifuatavyo; Kuacha dhambi kwa mtu yeyote huja baada ya mtu huyo kuamua kuipenda mbingu badala ya jehanamu. Ukijua kwamba kuna ziwa la moto ambalo waovu wataenda huko milele basi utakuwa na sababu kuu ya kuamua kubadilika. ''Na iwapo mtu ye yote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.-Ufunuo 20:15'' Biblia iko wazi kabisa juu wa watenda dhambi wasio tubu kwamba kuna ziwa la moto. Nakuomba kama hilo kanisa ambalo uliokokea mwanzo liko karibu basi muone mchungaji na mweleze kisha atakuongoza sala ya toba na utaanza upya na BWANA YESU. ''Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.-Yakobo 5:16 '' Kama uko mkoa mwingine au uko mbali na huko basi tafuta kanisa la kiroho kisha amua tu kuokoka kwa upya. Kulikwepa kanisa hakuwezi kukusaidia kitu chochote. Kumuonea aibu MUNGU kwa kulikimbia kanisa lake ni kuonea aibu uzima wa milele. ''Kwa sababu, ukimkiri YESU kwa kinywa chako ya kuwa ni BWANA, na kuamini moyoni mwako ya kuwa MUNGU alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.-Warumi 10:9-11'' Binafsi nitakuombea juu ya MUNGU kukusaidia katika hilo jambo lakini pia maamuzi ya jinsi ya kuishi yako kwako mwenyewe. Wengi husema vishawishi ndivyo vilivyowapelekea kufanya dhambi, wengine husema ujana na wengine husema shetani lakini mimi nakuambia kwamba mhusika mwenyewe ndio huwa chanzo cha uovu wake. Yohana 3:18-21 '' Amwaminiye yeye(YESU) hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa MUNGU. Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika MUNGU.'' Kama ukiambiwa chakula kilicho mbele yako kina sumu hakika hutakula hata kama ni kwa kulazimishwa hutakubali. dhambi ni mbaya kuliko sumu maana dhambi inaweza kuzaa jehanamu hivyo kama tunaiogopa sumu kwenye chakula basi tuogope na dhambi kwa namna hiyo hiyo maana dhambi ina madhara makubwa sana zaidi ya sumu. Nakuomba okoka kwa upya kisha fanya yafuatayo; 1. Jitenge na marafiki wabaya waliokusaidia mwanzo wewe kuingia dhambini. 2. Hakikisha unakuwa mhudhuliaji wa kila kipindi cha ibada kanisani kuanzia katikati ya wiki na jumapili pia. 3. Tendea kazi Neno la MUNGU unalofundishwa kanisani. 4. Uwe muwazi kwa baba yako wa kiroho ili akusaidie kwa ushauri na maombi. 5. Jiunge na kundi la maombi kanisani na hakikisha unakuwa muombaji maana kazi mojawapo ya maombi ni kututiisha mwili ili tamaa zisikusumbue. 6. Amua kuwa kiumbe kipya kisicho husika na dhambi maana ukiwa na nia hiyo ROHO MTAKATIFU atakuja kwako na kukusaidia jinsi ya kuishi ili ubaki katika utakatifu. 7. Jiunge na huduma kanisani ili jambo hilo likusaidie kuwa busy na huduma na kwa kuwa kwenye huduma kutakusaidia wewe kuwa kwenye mtandao mkubwa wa kuombewa mara kwa mara na wana kanisa. Mfano ukijiunga na kwaya itakuwa kwako rahisi kuombewa maana wanaoombea huduma za kanisani ni wengi. 8. Sahau mambo ya nyuma na yafute kabisa kwenye akili yako ili yasikufanye ukose ujasiri wa kuendelea mbele. 9. Hakikisha unakuwa kielelezo cha matendo mema. 10. Liishi Neno la MUNGU siku zote. Mathayo 13:41-43 '' Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi, na kuwatupa katika tanuru ya moto, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa BABA yao. Mwenye masikio, na asikie. '' Ndio maana Biblia siku zote inatushauri kwamba ''Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;-Matendo 3:19'' Naamini kabisa kuna kitu umejifunza, lakini lengo la kwanza la MUNGU ni wewe uokoke. Kama unaishi maisha ya dhambi ndugu nakuomba tubu na okoka. Kama hujampokea YESU nakuomba umpokee leo na uanze kuanzia leo kuishi maisha matakatifu ya wokovu. Kama wewe ni mtu wa kanisani lakini maisha yako yamejaa dhambi nakuomba okoka upya na amua kumpendeza MUNGU kuanzia leo. Kama wewe umegeuza kanisa kama kichako chako cha kuficha uovu wako , nakusihi sana umche MUNGU maana kuna ziwa la moto kwa waovu, lakini pia kuna uzima wa milele kwa wateule wa KRISTO wanaoishi maisha matakatifu. MUNGU wangu akubariki sana na akupe ufahamu wa kumjua yeye na Neno lake, akupe ufahamu wa kuliishi kusudi lake jema kwako. ubarikiwe sana pia kwa kujifunza masomo yangu. Ni mimi ndugu yako Peter M Mabula. 0714252292. mabula1986@gmail.com Ubarikiwe sana kwa kusoma somo hili.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment