JESHI LA AZAM KWENYE KAGAME 2015

Kocha mkuu wa Azam mwingereza Stewart Hall amewaweka hadharani wapiganaji wake katika kombe la klabu bingwa afrika mashariki na kati maarufu kama Kagame cup. kikosi hicho kiko kama ifuatavyo;
magoli kipa;
  1. Manula Aishi Salum, 
  2. Mwadini Ali na 
  3. Metacha Boniphance Mnata. 
Mabeki
  1. Pascal Wawa, 
  2. Agrey Morris Ambros, 
  3. Shomari Kapombe, 
  4. Erasto Nyoni, 
  5. Morad Said Hussein, 
  6. Kamagi Gadiel Michael na 
  7. Kheri Abdallah Salum.
Viungo; ni 
  1. Mkami Hamid Mao,
  2.  Salum Abubakar
    Domayo Frank Raymond, 
  3. Jean Mugiraneza, 
  4. Abbas Mudathir Yahya na
  5.  Shah Faridi Mussa 
washambuliaji ni;
  1. Nahodha John Bocco, 
  2. Didier Kavumbagu, 
  3. Kipre Tchetche na 
  4. Ame Ali.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment