baadhi ya matukio yaliyotokea wakati wa mechi ya handball kati ya runzewe sec an ushirombo sec katika video

captain wa runzewe sec jeremia robert aanzisha safari ya ushindi kwa kufunga goli la kwanza kwa timu yake

captain wa ushirombo baraka mipango amlipa mwenzake wa runzewe kwa kuisawazishia timu yake goli kwa shuti kali


angalia combination ya vijana hawa watatu wa ushirombo ilivyowapa goli la tatu na kuwaacha vijana wa runzewe wakiwa wameduwaa
pressure ya mchezo iliwafanya baadhi ya wanamichezo kushindwa kucheza vizuri kama hapo mwanamchezo huyo alivyoshindwa kudaka mpira


urafiki wa vijana hawa wawili wazaa bao la tatu la wana wa ushirombo



Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment