michezo 10 maarufu zaidi duninani

Ndungu msomaji wa makala haya bila shaka utakubaliana nami kuwa tuna aina nyingi za michezo duniani. aina hizi za michezo hutofautiana umaarufu kutoka mahali pamoja hadi mahali pengine na pia hutofautiana kutokana na rika la mtu na wakati mwingine kutokana na jinsia na rangi ya mtu. katika makala haya nimepanga michezo kutokana na umaarufu wake baada ya kukusanya taarifa kwenye vyombo mbalimbali vya habari, mitandao ya kijamii na watu binafsi.

Image result for handball
Image result for netball
  1. Image result for soka in bongoSoka au kabumbu au kandanda ndio mchezo maarufu zaidi duniani. mchezo huu unapendwa na watu wengi. mno wachezaji nguli wa mchezo huu kwa sasa kama Christiano Ronaldo na lionel Messi wanafahamika kirahisi kutokana na watu wengi kupenda kufuatilia mchezo huu. kwa Tanzania huwezi kukuta watu wanajadili michezo bila kugusa soka. inakadiriwa kuwa watu zaidi ya millioni 600 hutazama fainali za kombe la dunia
  2. Image result for mpira wa kikapumpira wa kikapu;Huu ndio mchezo wa pili kwa umaarufu duniani baada ya soka. mchezo huu ni maaarufu zaidi katika nchi za marekani, China, uturuki na Hispania. ingawa ni mchezo wa pili kwa umaarufu duniani inaaminika kuwa mchezo huu ndio mchezo ambao wachezaji wake huvuna fedha nyingi kuliko mchezo wa soka. kwa mfano wachezji kama Lebron James na kolbe Brayant wapo kwenye wachezaji watano bora wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani. ni mchezo usiopendwa huko india.
  3. Image result for tennisTennis. Ni mchezo wa tatu kwa ummarufu duniani. mchezo unaochezwa karibia kila nchi. mashindano makubwa ya tennis kama us open, na australian open hukusanya watazamaji wengi. mchezo huu vile vile umewatajirisha watu wengi. mathalani mchezji rodger federer anafikiriwa kuwa mwanamichezo namba mbili duniani kwa kulipwa kitita kikubwa cha pesa.
  4. Image result for cricketkriket. ni mchezo wa nne kwa umaarufu mchezo huu hupendwa zaidi katika nchi ya India, africa ya kusini, pakistan na uingereza. mchezaji maarufu wa india Dhoni huingiza zaidi ya dola za kimarekani milion 30 kwa mwaka. mchezo huu haupendwa sana katika nchi za Ujerumani, ufaransa, uturuki na korea ya kusini
  5. Team handball; ni mchezo wa tano kwa umaarufu duniani. mchezo huu unatumia nguvu, akili, punzi nyingi za mwanamichezo. matumizi ya nguvu, akili na kasi ndio vitu vinavyoufanya mchezo huu uwasisimue watazamaji wengi.
  6. Image result for riadhaRiadha; huu ni mchezo wa sita kwa ummarufu zaidi duniani. huu vilevile ni mchezo unaochezwa karibu sehemu zote za dunia. mataifa kama kenya, jamaika na marekani yana manguli wa mchezo huu
  7. Image result for volleyballmpira wa wavu; mchezo huu unachukua nafasi ya saba kwa umaarufu duniani. mataifa kama Cuba na brazili ina mashabiki wengi wa mchezo huu.
  8. mpira wa pete: huu ni mchezo wa tano kwa umaarufu duniani. katika nchi nyingi mchezo huu huchezwa na akina dada zaidi. huku katika baadhi ya nchi ukiwa unachezwa na jinsia zote.
  9. Image result for american footballamerican football; umaarufu wa mchezo huu unatokana nguvu ya vyombo vya habari vya marekani ambapo mchezo huu huchezwa zaidi.
  10. Image result for baseballbaseball; huu ni mchezo unaochezwa zaidi huko marekani. mchezo huu unafaidisha sana wachezaji wake kwani hulipwa fedha nyingi zaidi.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment