
Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda
aliyekuwa akituhumiwa kwa
makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia
Makosa yaliyokuwa yakimkabili ni mawili ambayo ni kushawishi watu
kutenda kosa, pamoja na kutoa matamshi yanayoumiza imani ya dini
nyingine.
Hakimu wa kesi hiyo Mary Moyo amesema ushahidi
uliotolewa na upande wa mashitaka haukujitosheleza hivyo mahakama hiyo
imemwachia huru na rufaa iko wazi endapo upande wa mashitaka
hautaridhika na hukumu hiyo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment