- Je ni bunge la ngapi? hili liatakuwa bunge la kumi na moja
- kutakuwa na wabunge wangapi? bunge lijalo linatarajiwa kuwa na jumla ya wabunge 396 kama inavyoonyeshwa katika mchanganuo ufuatao kwenye jedwali
|
1.
AINA YA WABUNGE
|
IDADI
|
|
2.
WABUNGE
WA MAJIMBO
|
266
|
|
3.
VITI MAALUM
|
113
|
|
4.
WABUNGE WA KUTEULIWA NA RAIS
|
10
|
|
5.
WAWAKILISHI WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
|
5
|
|
6.
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
|
1
|
|
7.
SPIKA WA BUNGE (KAMA HATAKUWA MBUNGE)
|
1
|
|
JUMLA
|
396
|
3.mgawanyo wa viti maalum kivyama ukoje?
|
CHAMA
|
IDADI YA WABUNGE WA VITI MAALUM
|
|
1. CCM
2. CHADEMA
3. CUF
JUMLA
|
63
43
7
113
|
0 comments :
Post a Comment