KAZI TU YA MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI LEO YAHAMIA KINONDONI; HICHI NDICHO KILICHOTOKEA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda leo amewaweka rumande maofisa ardhi baada ya kuchelewa kufika eneo la kazi kwa wakati kama alivyowaelekeza.
Aliwaagiza wafike eneo lenye mgogoro wa ardhi mapema asubuhi wakafika saa tano
Mkuu huyo wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Ardhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi mapema kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.
Hivyo aliamua kuwakeka mahabusu kwa saa sita katika Kituo cha Polisi Wazo na kuairisha shughuli hiyo hadi kesho. Nini maoni yako???
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment