LOWASA AENDA KUILIWAZA FAMILIA YA MAREHEMU ALPHONCE MAWAZO

Aliyekuwa mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuiptia chama cha demokrasia na maendeleo Edward Lowasa ameitembelea familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita Aliyeuawa hivi karibuni. katika safari hiyo Ndeugu Edward Lowasa ambaye pia ni Waziri mkuu Mstaafu alienda kuifariji familia hiyo kutokana na kuondokewa na mpendwa Alphonce Mawazo.

Picha hapo juu ni lowasa akiwa na mtoto wa marehemu mawazo
pamoja na watu wengine Mheshimiwa Edward Lowasa alimfariji mtoto wa marehemu Alphonce Mawazo ambaye leo alifanya na kumaliza mtihani wake wa  darasa la nne vizuri. Mheshimiwa Lowasa Alimuahidi mtoto wa Marehemu aiitwaye Precious Mawazo  kumsomesha hadi chuo kikuu
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment