MBIO ZAMSAIDIA SERENA WILLIAMS KUIOKOA SIMU YAKE ISIIBIWE NA KIBAKA
Bingwa wa kihistoria wa mchezo watennis duniani Mmarekani serena williams jana alifanikiwa kuiokoa simu yake iliyokwapuliwa na kibaka mmmoja wakati akipata chakula cha mchana hotelini. mwanamichezo huyo alimkimbiza mwizi huyo kimya kimya na mara alipomkamata alimwambia mwizi wake kwa upole "naomba simu yangu uliyochukua kimakosa" I kindly asked him if he "accidentally" took the wrong phone naye mwizi huyo kwa mshangao mkubwa alijibu "Gosh you know what I did! It was so confusing in there. I must have grabbed the wrong phone.yaani duh! unajua nilichofanya nilichanganyikiwa nililikwapua simu isiyo sahihi. baadaye serena aliandika katika anwani yake ya facebook kuwa alijiandaa kumpa kipondo mwizi wake kama angejifanya mjanja kwani aliandaa mateke yake. na kwa vile mwizi wake alijiheshimu alimshukuru na kumwacha SERENA "Meanwhile My phone was ringing, my superhero sidekick quailman was face
timing me so he could not possibly deny the allegations. I swiftly
thanked him and left" aliporudi hotelini alipewa zawadi kwa kitendo chake cha kishujaa. baadaye serena alisema huo ni ushindi kwa wanawke wote
0 comments :
Post a Comment