MTOTO WA KIGODA ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE HANDENI KWA TIKETI YA CCM

Omari abdala Kigoda Ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mgombea ubunge wa ccm wa jimbo la handeni Abdala Kigoda ameshinda kura za maoni ndani ya ccm na hivyo atakuwa mgombea ubunge wa chama hicho katika jimbo hilo la handeni. Bwana Omari Abdala kigoda alipata jumla ya kura 402 huku mshindani wake Hamisi Mnondwa akipata kura 257.
uchaguzi huo ulirudiwa baada ya ule wa awali kushindwa kumtoa mshindi wa moja kwa moja kutokana na mshindi wa kwanza na yule wa pili kushindwa kuvuka nusu ya kura hivyo kushindwa kutimiza vigezo vilivyowekwa na chama chao.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment