Rais Dk Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA) Rished Bade na kumteua Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo
Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa Rais Magufuli
umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini iliyobaini upotevu wa makontena
349 yaliyotoweka bandarini pasipo TRA kuwa na kumbukumbu zozote za
makontena hayo.
0 comments :
Post a Comment