TB MAZEMBE MABINGWA WA AFRICA MBWANA SAMATA MFUNGAJI BORA

Image result for tp mazembeTimu ya TP mazembe ya jamhuri yakidemokrasia ya kongo imefanikiwa kubeba ubingwa wa klabu bingwa afrika baada ya kijabanga bila huruma timu ya USM ya Algeria jumla ya magoli 2 kwa 0 katika mchezo mkali na wa kuvutia uliochezwa katika uwanja wa TP mazembe ulioko mjini lubumbashi.bao la kwanza lilifungwa na Mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samata kupitia njia ya mkwaji wa penati baada ya yeye mwenyewe kuchezewa faulu katika eneo la penalti. TP mazembe walijihakikishia ushindi baada ya kufunga bao la ushindi dakika za majeruhi baada ya kazi nzuri ya mbwana samata. ushindi wa TP mazembe umemwezesha pia Mtanzania Mbwana Samata kufukisha jumla ya magoli 8 ambayo yamemwezesha kuibuka mfungaji bora wa mashindano hayo kwa mwaka huu. Hongera TP mazembe, Hongera Na Ahsante Mbwana Samata kwa  kutuwakilsha vema watanzania
Image result for mbwana samata tp mazembembwana sammata mfunguji wa bao la kwanza la TP mazembe
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment