ZITTO KABWA ATAKA MAALIM SEIF AAPISHWE KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ameitaka tume ya taifa ya uchaguzi kumtangaza mshindi halali wa  uchaguzi mkuu wa zanzibar atangazwe kuwa ndiye mshindi na si vinginevyo , soma alichaandika katika faceboo yake
"Suala la Zanzibar lisidharauliwe kabisa. Matokeo yatangazwe na mshindi aapishwe. Hatuwezi kutazama tu Katiba inakanyagwa. Vinginevyo Maalim Seif apate Jaji amwapishe na aunde Serikali mara moja na kuanza kuwatumikia Wazanzibari, Serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar"
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment