AJALI MBAYA SINGIDA

Basi la Kampuni ya Taqbiir ambalo lilikuwa likitoka Dar es salam kwenda mkoani geita limepata ajali mbaya katika eneo la shelui mkoani singida na kusababisha vifo na majeruhi na uharibufu mkubwa wa mali. ajali hiyo imetokea jana Desemba mosi  majira ya saa moja na nusu jioni baada ya basi hilo kuligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba.
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment