VYAMA YA UPINZANI
VIHAMIE NA KUWEKEZA VIJIJINI.
Pamoja na kutokuwa na
uwanja sawa wa uchaguzi katika nchi (yaani vyombo vya dola na vinavyosimamia
uchaguzi kuzidiwa nguvu na chama kinachoongoza dola pamoja na hujuma nyingi za
kiuchaguzi), ukweli unabakia kuwa vyama vya upinzani nchini Tanzania vina kazi
kubwa ya kuwekeza vijijini katika miaka hii mitano (2015 - 2020).
Hadi sasa, zaidi ya
asilimia 90 ya majimbo yako vijijini na huko ndiko CCM imeendelea kushinda au
kucheza na akili za wapiga kura au kuchezea kura zao na hata kubadilisha
matokeo, mjini pamekuwa pagumu kwa CCM.
Kwa hiyo, akili ndogo
tu inaonesha kuwa ili uiongoze Tanzania pamoja na "figisu figisu" za
kiuchaguzI zilizopo, lazima ukawekeze na kushinda kwa zaidi ya nusu ya majimbo
yaliyoko vijijini.
Mtatiro J.
VYAMA YA UPINZANI VIHAMIE NA KUWEKEZA VIJIJINI.
Pamoja na kutokuwa na uwanja sawa wa uchaguzi katika nchi (yaani vyombo
vya dola na vinavyosimamia uchaguzi kuzidiwa nguvu na chama
kinachoongoza dola pamoja na hujuma nyingi za kiuchaguzi), ukweli
unabakia kuwa vyama vya upinzani nchini Tanzania vina kazi kubwa ya
kuwekeza vijijini katika miaka hii mitano (2015 - 2020).
Hadi sasa, zaidi ya asilimia 90 ya majimbo yako vijijini na huko ndiko
CCM imeendelea kushinda au kucheza na akili za wapiga kura au kuchezea
kura zao na hata kubadilisha matokeo, mjini pamekuwa pagumu kwa CCM.
Kwa hiyo, akili ndogo tu inaonesha kuwa ili uiongoze Tanzania pamoja na
"figisu figisu" za kiuchaguzI zilizopo, lazima ukawekeze na kushinda kwa
zaidi ya nusu ya majimbo yaliyoko vijijini.

0 comments :
Post a Comment