MATUKIO YA UTEKAJI YAANZA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA LUDEWA, W

Watu wanaweza kusema hii ni burundi kumbe ni tanzania tu hapa ni ludewa mkoani njombe ambako vijana wa green gard wa ccm wamewateka na kuwakatakata mapanga wanachama na baadhi ya viongozi wa chadema ambao wapo jimboni humo kwa ajili ya kampeni.
Utesaji huu ulikuwa unafanywa kwenye nyumba ya mwenyekiti wa kitongoji wa ccm pamoja na kwamba baadhi ya watuhumiwa green gard wamekamatwa na kufikishwa police lakini hakuna dalili yoyote ya jeshi la police kuwahoji watu hawa waonyeshe walikowapeleka mateka wengine maana mpaka sasa watu wanne wameokolewa kutoka kwa watekaji hawa lakini watu watano hawajulikani waliko.
moja ya mambo ambayo jeshi la police lilishashindwa ni kuzibiti mauwaji ya kisiasa hii inatokana na jeshi hili kuwajibika kwenye chama kinachotekeleza mauwaji.lakini MUNGU mkubwa ipo siku watu wataimba ishallah na haleluya pale ambapo nchi itapata uhuru na ukombozi wa mara ya 2.
Namshangaa magufuri amwemwagiza waziri wake wa mambo ya nje kukomesha umwagaji damu kule burundi wakati nchini kwake na yeye damu inamwagika kwa mlengo wa siasa kama burundi.hii inanikumbusha kikwete akiwa rais alishawahi kumshauli PaulKagame akae chini na waasi wayamalize wakati yeye kikwete alishindwa kukaa na wapinzani wake ili wayamalize aliishia kuwauwa kwa kutumia jeshi la police.
Siasa za tanzania mara nyingi sio msaada kwa watanzania ila ni siasa za sifa na maslahi kwa kifaransa tunasema (la politique d'intérêt et veulent louer) ipo siku haya mauwaji yatakoma.

Il vaut mieux mourir que de vivre que vous vous battez tout sur vos genoux
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment