Mbunge wa Ubungo Said Kubenea leo mchana alifikishwa mahakamani kwa kosa la kutoa lugha chafu dhidi
ya mkuu wa wilaya ya kinondoni ndugu Paul Makonda. katika shtaka hilo makonda anadai kuwa mheshimiwa said kubenea alimwita kibaka walipotofautiana kuhusu mgogoro uliokuwepo kati ya kiwanda cha Nguo cha tz Tooku na wafanyakazi wake. Baada ya kusomewa shtaka lake mheshimiwa Said Kubenea huku akijiamini alikana shtaka hilo. Baadaye mheshimiwa said kubenea aliachiwa kwa dhamana huku kesi hiyo ikitarajiwa kuendelea tena desemba 29 mwaka huu
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment