NANI MJANJA KATI VIJANA NA MZEE?

BABA OYEEEEEE💪💪
Soma hii...
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi Okafor
MVULANA: Hapana!, Nimekuja kuazima kitabu cha Maombi kama kinaitwa "WHERE SHOULD I WAIT FOR YOU?" by Ngũgĩ wa Thiong'o
MSICHANA: Aaah! Icho sina ila ninacho kimoja kinaitwa "UNDER THE MANGO TREE" by Chimamanda Adichie
MVULANA: Ooh! Vizuri, Basi usisahau kuja nacho kesho kitabu cha Okot p'Bitek kile kinachoitwa "CALL ME IN 5 MINUTES BEFORE" Utakapokuja shule.
MSICHANA: Usijali, tena nina kitabu kipya kinaitwa "I WON'T LET YOU DOWN" by Chinua Achebe
Baba mtu akawatazama kisha akasema
BABA: Vitabu vyote hivyo, mbona vingi sana, atavisoma vyote kweli
MSICHANA: Ndio Daddy, huyu mvulana yupo smart sana na ana akili atavisoma vyote hivyo!
BABA: Sawa! Usisahau kumpatie na kile ambacho nimekiweka pale juu ya meza, kinaitwa "I AM NOT STUPID, I UNDERSTOOD EVERYTHING YOU'VE BEEN SAYING" by Shakespeare!
Na kuna kingine nimekiweka juu ya kabati la vyombo, kinaitwa "IF YOU GET PREGNANT PREPARE TO GET MARRIED"
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment