AMRI YA MKUU WA MKA WA DODOMA KWA WATU WA POMBE. HAJAKIUKA VIFUNGO NILIVYOAMBATANISHA HAPO CHINI?


JE AMRI HII HAIJAKIUKA SHERIA YA VINYWAJI KAMA IFUATAVYO?
1.Mkuu huyu wa mkoa haelewi kuwa kuna sheria ya vileo .

2.Amri yake inakwenda tofauti na sheria ya vileo.Sheria inaruhusu Mgahawa kuuza pombe saa 6 hadi saa 8 mchana kisha saa 12 hadi saa 6 usiku kwa siku za wiki na saa 5 hadi 8 mchana kisha saa 12 jioni hadi saa 6 usiku kwa siku za week end.

3.Mkuu huyu wa mkoa ameshindwa kuitekeleza sheria ya vileo kwenye mkoa wake.

4.Mkuu wa mkoa ameliingizia taifa hasara na wenda hasara zaidi endapo serikali itadaiwa fidia na watakao 
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment