MBOWE NA LOWASA WATEMBELEA ENEO AMBALO MAWAZO ALIUAWA

M/Kiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho MHE: WAZIRI MKUU MSTAAFU Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wamefika eneo ambalo aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita aliuawa tarehe 14/11/2015. Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha kukatwakatwa mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.
 
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment