Unaweza kusema huu ni mwaka wa huzuni au mwaka wa shetani au mwaka wa vipigo kwa chelsea vyovyote utakavyo ili kuonyesha matokeo mabovu ya timu hiyo bingwa mtetezi wa ligi. hali hiyo iliendelea jana baada ya chelsea kupokea kipigo cha mbwa mwitu kutoka kwa majogoo wa anfield (LIVEPOOL). katika mechi ya jana chelsea ilitandikwa mabao 3 kwa bao moja la kufutia machozi. mabao ya liverpool yalifungwa na mbrazili philipe countinho (dk 45), (74) na christian benteke dakika ya 83. bao la chelsea ambao walikuwa wa kwanza kufunga bao dakika ya nne lilifungwa na kiuno mbrazil ramires.

phillipe countinho akifunga goli la kusawazisha

countinho akifunga goli la pili

bentekke akifuta matumaini ya chelsea kusawazisha goli baada ya kufunga goli la tatu na la mwisho
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment