katibu mkuu wa baraza hilo dkt Charles msonde ambaye ndiye aliyetangaza matokeo hayo kwa niaba ya baraza alisema kuwa watahiniwa waliofaulu ni asilimia 67.84 ambayo ni asilimia 10.85 zaidi ya ile ya mwaka 2014.
idadi ya wasichana waliofaulu ni 264130 na wavulana walifaulu ni 253904.
watahiniwa kumi bora wanatoka katika shule za Hazina ya Dar es salaam,Mugini ya Mwanza,Twibhoki ya Mara.
shule kumi bora katika mtihani huo ziliongozwa na
- Waja springs ya mkoani Geita,
- Ikafuatiwa na Enyamai ya mkoani Mara,
- twibhokki ya mara
- Mugini ya Mwanza
- Rocken Hill ya shinyanga
- Karume ya Kagera
- Alliance ya Mwanza
- Little flower ya Mara
- Palikas ya Shinyanga
- mtakatifu Karoli Ya Mwanza
- Mwashigini ya shinyanga
- Mabambasi ya Simiyu
- mwangu ya lindi
- Mohedagew ya Arusha
- Kwale ya Pwani
- Njoro ya Arusha
- Gomhungile ya Dodoma
- Makole ya Tanga
- Kitengu ya Morogoro
- koloni ya Morogoro
- katavi
- Dar es salaam
- Mwanza
0 comments :
Post a Comment