HAYA NDIYO MATOKEO YA MECHI ZA LEO ZA LIGI MBALI MBALI DUNIAN

ENGLAND
Licha ya mchezo mzuri Iliouonyesha Chelsea ilishindwa kabisa kuchukua point tatu kutoka kwa Totenharm Hottspurs. na hivyo timu hizo kutoka sare tasa ya 0.0
Westharm united walishindwa kuutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bao moja kwa moja na westbromwich Albion
muda huu liverpool wapo uwanjani wakipepetana na vijana wa jiji la Swansea (swansea City) mpaka sasa dakika ya 30 milango ni migumu
huku arsenal mpaka sasa wakiwa mbele kwa bao moja dhidi ya Norwich city

UJERUMANI
Borusssia Dortumund imeikung'uta bila Huruma Vfb sttutagart mabao 4;1
muda huu mechi mbili zinaendelea ambazo ni mechi kati ya bayern leverkusen na shalke 04, na ile kati ya Augsburg na wolsburg ambazo mpaka muda huu dakika ya 23 hakuna timu iliyougusa nyavu za mpinzania wake
UHISPANIA
Real Madrid waliwafunza wenyeji wao wa Eibar baaada ya kuwatandika bao 2 kwa mtungi
Getafe nao waliwachapa vila real mbili bila majibu


Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment