ZITTO AANZA KAZI

Munge mteule wa kigoma mjini aanza kazi rasmi ya kuwatumikia wananchi wake kwa kikao cha viongozi wake wa serikali za mitaa. soma hapo chini alichokisema kwenye mtandao wake
Kazi imeanza. Leo kikao na Wenyeviti wote wa Mitaa Manispaa ya Kigoma/Ujiji na kikao na madiwani wote 12 wa ACT Wazalendo jimboni. Kuweka mikakati ya utekelezaji wa malengo yetu 15 na kufanya transformation ya mji wetu

Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment