kwa maana HIYO mankontena yaliyopotea bandalini 2431 yameisababishia serikali hasara ya trion 12 ambazo sawa na bilion 12000 hizi zilikuwa na uwezo wa kuleta tren za umeme dar kigoma na dar mbeya dar arusha,dar mwanza.lakini pia pesa hii ingetumika kwenye secta ya elimu basi watoto wangesoma bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu kwa muda wa miaka 10 huku kila mmoja akipewa chapati 5 za mia
kutokana na hasara hiyo inayokadiliwa kuwa imeingizwa ndani ya miaka
miwili hivyo mawaziri ambao wameitumikia wizara hiyo kwa nyakati tofauti
Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe wahojiwe na vyombo husika kama
wanahusika na ufisadi huu na kama hawahusiki ni kwa nini walifanya
uzembe huu ambao umelighalimu taifa matrion ya pesa? na ikiwezekana
wachukuliwe hatua na kubuluzwa mahakamani haiwezekani pesa ambayo ni
bajeti ya nchi ya mwaka inaliwa na watu wachache ambao ata 20 hawafiki
wakati kuna watu wanakufa kwa njaa.
sasa hapa ndio tunataka kuona ujasiri wa serikali ya makufuri maana mara nyingi udhaifu wa viongozi wa ccm unakuwaga pale pa kuwawajibisha vigogo mpaka sasa tangu makufuli aanze kazi ni vidagaa tu ndio wanaowajibika.na uwizi wa mankotena 2431 lazima kuna vigogo wakubwa wanahusika kama vile mawaziri wa serikali iliyopita watoto wa marais na ndugu zao.

0 comments :
Post a Comment