Alisema Idadi ya wapigakura ni 317,814 ,waliojitokeza ni 105,800 sawa na asilimia 32.83 huku kura halali zikiwa ni 104,353 na zilizoharibika 1447
Godbless Jonathan Lema (CHADEMA) kura 68,848 Sawa na asilimia 65.7*
Philmon Mollel (CCM) 35607 sawa na asilimia 34
*
Navoi Mollel (ACT wazalendo) 342 sawa na asilimia 0.3
*
Zuberi (CUF) 849
*
NRA 43
0 comments :
Post a Comment