KESHO NI NUSU FAINALI YA CECAFA

Michuano ya kombe la chalenji kwa nchi za Afrika mashariki na kati sasa imefikia patamu baada ya timu nne kubakia kwenye kitim tim hicho kwa hatua ya nusu fainali. timu zilizofanikiwa kutinga nus fainali hiyo ni timu ya taifa ya Uganda maarufu kama The Cranes iliyoitoa timu ya taifa ya Malawi, timu ya taifa Ethiopia iliyowafungasha virago vijana wetu wa tanzania bara maarufu kama The kilimanjaro Stars, Timu ya taifa ya Sudan maarufu kama mamba wa mto nile waliowarudisha nyumbani ndugu zao wa Sudan Kusini, timu y mwisho iliyotinga hatua ya nusu fainali ni timu ya taifa ya Rwanda maarufu kama Amavubi iliyowahenyesha Wakenya katika hatua ya robo fainali.
katika hatua ya nusu fainali itakayo pigwa kesho Alhamis tarehe 3 decemba miamba hiyo iliyofika hatua hiyo zitakabiliana kama ifuatavyo
cranesXIvsTogo VS Image result for ethiopia national team
Uganda                                                      Ethiopia
VS
kwa mujibu ratiba http://kaksigaby.blogspot.com/2015/11/fixture-cecafa-senior-challenge-cup.htm ya mashindano hayo baada ya michezo ya esho tarehe tatu siku itakayofuata ambayo ni tarehe 4 itakuwa siku mapunziko na siku ya tarehe 5 itakuwa siku ya kumpata bingwa na mshindi wa tatu  kwa kuzikutanisha timu zilizotolewa katika hatua ya nusu fainali na baadaye siku hiyo hiyo mechi ya fainali itapigwa. 
   
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment