Samatta
anawania hiyo na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na
Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert
Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF ilikuwa imewataja wachezaji 37 katika orodha ya awali lakini wakachuja hadi 10 mwezi uliopita.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment