Waziri Nape Nnauye Mgeni rasmi
Tamasha la Krismasi mwaka huu. Waziri wa Habari,Utamaduni, Michezo na Sanaa,
Nape Nnauye WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Michezo na Sanaa, Nape Nnauye
anatarajia kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba
25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini.Dar es salaam. Kwa mujibu wa
mwenyekiti wa maandalizi ya tamasha la Krisimasi, Alex Msama, maandalizi
yanaendelea vizuri na ilitegemewa Mweshimiwa makamu wa rais Samia Suluhu kuwa
mgemi rasmi katika tamasha hilo mwaka huu, Lakini kutokana na Mweshimiwa Makamu
wa rais kuwa na majukumu mengine siku hiyo Mweshimiwa Nape Nnauye ndiye
atakayekuwa mgeni rasmi. Kwa mujibu wa bwana Msama ni kwamba Waziri Nape Nnauye
amekubali mwaliko huo wa kuhudhulia Tamasha la Krisimasi mwaka huu 2016 kama mgeni
rasmi. Tamasha hilo mwaka huu lina lengo la kumshukuru MUNGU kwa kuliwezesha
taifa letu kufanya uchaguzi salama na kwa amani. Kipindi cha uchaguzi wa
october 25 kilikuwa kigumu lakini ashukuriwe MUNGU wa mbinguni kwa amani yake
ambayo ilitawala. bwana Msama pia amewaomba watanzania kuhudhulia kwa wingi
katika Tamasha hilo la Krisimasi ambalo litafanyika tarehe 25 Desemba kwenye
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Rebeca Malope Waimbaji
watakaopanda jukwaani siku hiyo ni pamoja na Rebeca Malope kutoka Afrika
kusini, Sarah k, Solomon Mukubwa na Faustin Munishi wote kutoka nchini Kenya.
Kwa upande wa waimbaji kutoka Hata Tanzania ni pamoja na Rose Muhando, Upendo
Nkone, Jesca BM, Joshua Mlelwa, KKKT Yombo na Kwaya ya Wakorintho wa Pili. Joshua
Mlelwa Solomon Mkubwa na Rose Muhando. Sarah K Upendo Nkone Jesca BM Mwimbaji
nguli Faustin Munishi.
joshua mlelwa
solmon mkubwa na Rose muhando
Waziri Nape Nnauye
Mgeni rasmi Tamasha la Krismasi mwaka huu.
Waziri wa Habari,Utamaduni,
Michezo na Sanaa, Nape Nnauye
WAZIRI wa Habari,Utamaduni,
Michezo na Sanaa, Nape Nnauye anatarajia kumwakilisha Makamu wa Rais wa
Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi
linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini.Dar es salaam.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa maandalizi ya tamasha la Krisimasi, Alex
Msama, maandalizi yanaendelea vizuri na ilitegemewa Mweshimiwa makamu wa
rais Samia Suluhu kuwa mgemi rasmi katika tamasha hilo mwaka huu,
Lakini kutokana na Mweshimiwa Makamu wa rais kuwa na majukumu mengine
siku hiyo Mweshimiwa Nape Nnauye ndiye atakayekuwa mgeni rasmi.
Kwa mujibu wa bwana Msama ni kwamba Waziri Nape Nnauye amekubali mwaliko
huo wa kuhudhulia Tamasha la Krisimasi mwaka huu 2016 kama mgeni rasmi.
Tamasha hilo mwaka huu lina lengo la kumshukuru MUNGU kwa kuliwezesha
taifa letu kufanya uchaguzi salama na kwa amani.
Kipindi cha uchaguzi wa october 25 kilikuwa kigumu lakini ashukuriwe
MUNGU wa mbinguni kwa amani yake ambayo ilitawala.
bwana Msama pia amewaomba watanzania kuhudhulia kwa wingi katika Tamasha
hilo la Krisimasi ambalo litafanyika tarehe 25 Desemba kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rebeca Malope
Waimbaji watakaopanda jukwaani siku hiyo ni pamoja na Rebeca Malope
kutoka Afrika kusini, Sarah k, Solomon Mukubwa na Faustin Munishi wote
kutoka nchini Kenya. Kwa upande wa waimbaji kutoka Hata Tanzania ni
pamoja na Rose Muhando, Upendo Nkone, Jesca BM, Joshua Mlelwa, KKKT
Yombo na Kwaya ya Wakorintho wa Pili.
Joshua Mlelwa
Solomon Mkubwa na Rose Muhando.
Sarah K
Upendo Nkone
Jesca BM
Mwimbaji nguli Faustin Munishi.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
0 comments :
Post a Comment