Chama cha Demokrasia na maendeleo chadema kimefanikiwa kuchukua usukani wa uongozi wa manispaa ya Iringa mjini baada ya mgombea wake Ndugu Kimbe Alex Boniphase kuibuka kidedea kwa mshinda mgombea wa ccm Ndugu Bashiri Richard . katika matokeo yaliyotangazwa ndugu Kimbe Alex Boniphace amepata kura 21 huku yule wa ccm bwana Bashiri akiambulia kura 6. CHADEMA pia ilifanikiwa kuchukua nafasi ya unaibu meya baada ya mgombea wake ndugu Joseph Lyata Nzara kura kuibuka mshindi kwa kujizolea kura 21 dhidi ya kura 6 za mgombea wa ccm Dora Menard Nzikualiyepata kura 6
katika Halmashauri ya wilaya ya karatu nguvu ya aliyekuwa katibu mkuu wa chadema zilionekana baada ya wagombea wa chadema kushindwa katika nafasi zote mbili za uenyekiti na makamu mwenyekiti licha ya chadema kuwa na madiwani wengi kuliko ccm.
Nayo halmashauri ya wilaya ya babati ambayo inamadiwani wengi wa chadema imechukuliwa na ccm
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment