HALI YA UHASAMA KATI YA WANA CHADEMA NA WANACCM GEITA YAMSABABISHA DC KUITSHA KIKAO CHAZARURA CHA KIJIJI

MKUU WA WILAYA AITISHA MKUTANO WA HADHARA KIJIJI CHA CHIKOBE KUPATA SULUHU YA AMANI...
Mkuu wa wilaya ya Geita ameitisha mkutano wa hadhara kijiji cha CHIKOBE wilaya ya Geita vijijini ili kutafuta suluhu ya uhasama mkubwa uliopo Kati ya wanaosadikiwa ni wafuasi wa ccm na CHADEMA ambapo uhasama huo wa kisiasa umepelekea wafuasi hao kushambuliana kwa mapanga,visu,majembe ,mishale na vifaa vingine vyenye ncha Kali...
Hii ni kutokana na mwanachama wa ccm bwana Mhangaiko Fokofoko usiku wa kuamkia Leo kwa kukatwakamatwa mapanga alipokua na wenzake kushusha bendera za CHADEMA na kuvamia kaburi la Alphonce Mawazo kufanya uharibufu....
wanachama wa CHADEMA wawili tayari wameshakamatwa na polisi kwa madai kuwa ni miongoni mwa wananchi walimkatakata mapanga Mahangaiko FOKOFOKO wa ccm......Waliokamatwa na polisi ni pamoja na
1/MUSSA BUTONDO
2/ SENEDA BANCHELULA
Share on Google Plus

About KAKSIGABA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment